DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 08.05.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 08.05.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
13 174 просмотра · Трансляция закончилась 4 месяца назад
DW Kiswahili
335 тыс. подписчиков
13 174 просмотра · Трансляция закончилась 4 месяца назад
-Waziri wa mambo ya kigeni wa Iran Abbas Araghchi ameituhumu Marekani kwa kuhujumu juhudi za kufikia suluhu kufuatia mashambulizi kati ya Marekani na Iran. Rais wa Marekani Donald Trump anasisitiza kuwa usitishwaji wa mapigano haujakiukwa.
-Viongozi wa Jumuiya ya Nchi za Kusini Mashariki mwa bara la Asia, ASEAN wamesisitiza umuhimu wa kutoa jibu la pamoja katika mzozo wa Mashariki ya Kati, ulioliathiri pakubwa bara hilo linalotegemea kwa kiasi kikubwa ujio wa bahari ya Hormuz, kupata nishati muhimu ya mafuta.
-Papa Leo XIV amewaombea viongozi wa dunia ili Mungu awasaidie kuachana na ghasia zinazoendelea na badala yake kujizatiti katika juhudi za kuleta amani, huku mvutano wa kimataifa ukiendelea kuongezeka.
#DWHabarizaUlimwengu #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast #SwahiliNews /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.