Перейти к содержимому

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Machi 13, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Machi 13, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

5 511 просмотров · Трансляция закончилась 1 год назад
DW Kiswahili
335 тыс. подписчиков
5 511 просмотров · Трансляция закончилась 1 год назад
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 13.03.2025 | Jioni Jumuiya ya SADC, yaamua kukomesha ushiriki wake wa kijeshi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kupoteza angalau wanajeshi kumi na wawili katika mapigano mwezi Januari. Vikosi vya usalama nchini Uganda vimewakamata wabunge wa upinzani pamoja na waandishi wa habari kadhaa waliokuwa wakiripoti kuhusu uchaguzi mdogo wa jimbo la Kawempe North. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.