Перейти к содержимому

Fredy Music _Acha Nienjoy (Official lyric )

GOAL KIPA

0:00 / 0:00

Fredy Music _Acha Nienjoy (Official lyric )

101 410 просмотров · 2 года назад
GOAL KIPA
18,8 тыс. подписчиков
101 410 просмотров · 2 года назад
#AchaNienjoy Verse 1 Mbona unajipigisha zako simuuu Unanisumbua message usiku Nadhani umepoteza kumbukumbu, ulivoniacha kisa ukapuku Moyo uliniuma nikajuta kukufahamu, mapenzi nkayaona machungu Mwili ulikonda,walonijua wasinfahamu, nyota makali kugeuka butu Mapenzi kidonda ukakosa ubinadamu, badala ya maziwa ukaniwekea sumu Liziki ikikosa ikawa kwako haramu, ukanitema kwamba we so langu fungu We siulinitupa.. kuna aliyeniamini akaniokota... Mbona wakunja ndita.. au ndo huamini nina maisha mapya We siulinitupa.. kuna aliyeniamini akaniokotaaaaa... Mbona wakunja ndita.. au ndo huamini nina maisha mapyaaaaaaa Acha nienjoy..... Acha nienjoy...staki stress na mapenzi Acha nienjoyyyyy.... Acha nienjoy...ata unione chizi.... Acha nienjoy...mh! Acha nienjoy Verse 2 Kumbe ulinipendea Pene,mfuko pochi nene hukutaka vikose... Vilipokosa ukaamua usepe,wale mapedezhee ukaruhusu wakuteke Leo sina stress...sa vipi nirudi zamani! Matapishi kinywani kurudi haiwezekani..aa Ulisema hunitaki,sasa leo unanitakisha nini...? Zamani hukuona yangu thamani,vipi leo ndipo uje nithamini..aaaaa Acha nienjoy..... Acha nienjoy...staki stress na mapenzi Acha nienjoyyyyy.... Acha nienjoy...ata unione chizi.... Acha nienjoy...mh! Acha nienjoy Willy pro...nisalimie mukubwa Datone Hahaa G mwamba that we got do men Kama ni pombe nipe K vant..aaaae Balimi, safari hazipandi...aaae Nyama choma lete mishkaki..aaae Wazee wa arosto pita na nyagi...aaae Acha nienjoy...!