IPHONE ZAELEA HORMUZ BAADA YA MELI ILIYOBEBA MAKONTENA 2.5K KUGONGA BOMU NA KULIPUKA MOTO
Global TV Online
0:00 / 0:00
IPHONE ZAELEA HORMUZ BAADA YA MELI ILIYOBEBA MAKONTENA 2.5K KUGONGA BOMU NA KULIPUKA MOTO
36 955 просмотров · 1 день назад
Global TV Online
5,97 млн подписчиков
36 955 просмотров · 1 день назад
IPHONE ZAELEA HORMUZ BAADA YA MELI ILIYOBEBA MAKONTENA 2.5K KUGONGA BOMU NA KULIPUKA MOTO
Bidhaa mbalimbali zikiwemo simu za iPhone na mizigo mingine zimeripotiwa kuonekana zikielea juu ya maji ya bahari baada ya meli kubwa ya mizigo iliyokuwa imebeba zaidi ya makontena 2,500 kuzama karibu na Mlango-Bahari wa Hormuz, katika tukio linalozua maswali kuhusu usalama wa usafiri wa majini katika eneo hilo muhimu kwa biashara ya kimataifa. Picha na taarifa kuhusu bidhaa hizo zinazoelea baharini zimeibua hisia mbalimbali, huku chanzo halisi cha kuzama kwa meli hiyo kikiwa bado hakijathibitishwa rasmi.
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com