Перейти к содержимому

HASIRA ZA MUUMINI WA AWORI... | Daawa Mtaani.

Abass Online Tv, Daawa Kenya

0:00 / 0:00

HASIRA ZA MUUMINI WA AWORI... | Daawa Mtaani.

117 просмотров · 8 часов назад
Abass Online Tv, Daawa Kenya
11,2 тыс. подписчиков
117 просмотров · 8 часов назад
"Katika video ya leo, nilienda maeneo ya K.C.C kwa ajili ya kufanya Daawa ya Mtaani, lakini hali ilibadilika ghafla. Nilikutana na mtu aliyepandwa na hasira kiasi cha kutaka kuleta vurugu baada ya kueleza msimamo wa kidini kuwa Pastor Awori si Mtume wa Mungu. Je, ni haki kwa mtu kukasirika kiasi hiki kwenye mazungumzo ya kidini? Nini kilifuata baada ya hasira hizo? Ungana nami mwanzo mpaka mwisho kujionea tukio hili la kweli na mjadala wa hoja uliotokea. *Usisahau:* ✅ Kusubscribe kwa video zaidi za Daawa. ✅ Kuacha maoni yako kuhusu tabia ya huyu mtu. ✅ Kushare video hii kutetea haki ya kulingania." Video hii imerekodiwa kwa madhumuni ya kuelimisha na kuonesha hali halisi ya changamoto za Daawa ya mtaani. Maudhui haya hayana lengo la kukashifu, kudhalilisha, au kuchochea chuki dhidi ya mtu binafsi, taasisi, au kikundi chochote cha kidini. Lengo ni majadiliano ya kidini na kulingania kwa amani na hoja. Mtazamo uliotolewa ni wa mlinganiaji kulingana na misingi ya imani yake."