Перейти к содержимому

UJENZI wa DARAJA la 6 kwa UREFU TANZANIA la PANGANI WAFIKIA ASILIMIA 74.3...

Global TV Online

0:00 / 0:00

UJENZI wa DARAJA la 6 kwa UREFU TANZANIA la PANGANI WAFIKIA ASILIMIA 74.3...

9 637 просмотров · 11 месяцев назад
Global TV Online
5,94 млн подписчиков
9 637 просмотров · 11 месяцев назад
UJENZI wa DARAJA la 6 kwa UREFU TANZANIA la PANGANI WAFIKIA ASILIMIA 74.3... ‪@mtima‬ Ujenzi wa Daraja la Pangani lenye urefu wa mita 525 na Barabara unganishi na mchepuko zenye urefu wa Kilomita 25 hadi tarehe 30 Septemba 2025 umefikia asilimia 74.3 na kazi ambazo zimefanyika ni pamoja wa Ujenzi wa kuta 2 unganishi za Daraja (Abutments) na nguzo 8 za Kati (Pier) ambapo jumla ya shilingi Bilioni 45.6 zimeshalipwa kwa mkandarasi. Ujenzi wa daraja hilo ni dhamira kuu ya Serikali kuufungua na kuunganisha Mkoa wa Tanga na ushoroba wa Ukanda wa Pwani ya Afrika Mashariki unaoanzia Malindi – Mombasa – Lunga Lunga/Horohoro - Tanga - Pangani – Bagamoyo (Makurunge) wenye urefu wa kilomita 454. Hayo yamebainishwa na Meneja wa TANROADS Mkoa wa Tanga Mhandisi Msama Msama wakati alipokagua ujenzi wa mradi huo leo tarehe 14 Octoba 2025 na kuongeza kuwa Daraja hilo likikamilika litakuwa kichocheo cha ukuaji wa uchumi ikiwa ni pamoja na kupunguza muda wa usafiri, urahisishaji wa kufanya biashara na kuwezesha wananchi kuchangamana kwa urahisi, kuwezesha kufikika kwa urahisi kwenye vivutio vya utalii, kuwa kiungo kizuri kati ya bandari za Dar es salaam, Tanga na Mombasa na kuchochea uchumi wa Buluu. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!   ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx