Перейти к содержимому

SIMBA WAITUKANA YANGA // Yanga waliomba Arajiga amalize mechi.

NYOTA SPOTI

0:00 / 0:00

SIMBA WAITUKANA YANGA // Yanga waliomba Arajiga amalize mechi.

16 276 просмотров · 2 дн. назад
NYOTA SPOTI
8,1 тыс. подписчиков
16 276 просмотров · 2 дн. назад
🔥 DABI YA KIHISTORIA! Simba SC wameibuka na ushindi dhidi ya Yanga SC, huku mashabiki wa Simba wakiendelea kuwakejeli wapinzani wao baada ya matokeo ya mchezo huo. Kuna madai kuwa upande wa Yanga ulitaka refa Ahmed Arajiga amalize mechi. Je, ilikuwa presha ya dabi au waliona mambo yamekuwa magumu? 👀🔥 💬 Mashabiki wa Simba na Yanga, leteni maoni yenu hapa chini! #SimbaSC #YangaSC #NguvuMoja