Перейти к содержимому

KUONGOZWA NA LUGHA ZA MUNGU.MHUBBIRI MWINJILISTI ANGEL | IBADA YA PILI 13/09/2026 .

FPCT MBEZI MAKONDENI

0:00 / 0:00

KUONGOZWA NA LUGHA ZA MUNGU.MHUBBIRI MWINJILISTI ANGEL | IBADA YA PILI 13/09/2026 .

74 просмотра · 13 дней назад
FPCT MBEZI MAKONDENI
341 подписчик
74 просмотра · 13 дней назад
Baraka za Ibada ya Pili Jumapili Hii! ✨ | FPCT Mbezi MakondeniKaribu kutazama namna ibada yetu ya pili ya Jumapili (13/09/2026) ilivyokuwa na nguvu na mguso wa kipekee hapa FPCT Mbezi Makondeni. Ibada hii ilianza mapema saa 4:00 asubuhi hadi saa 7:00 mchana ikisindikizwa na sifa, kuabudu, na neno lenye nguvu.Kwenye ibada hii, tuliongozwa na Muinjilisti Angel katika mada kuu ya "Kuongozwa na Sauti ya Mungu". Masomo ya Biblia yaliyosimamiwa siku ya leo: 📖 1 Wafalme 3:7-12 📖 1 Wafalme 13:1-11 📖 Luka 1:26-29, 34-38 📖 Yohana 11:1-5, 11-16 Tazama video hii mwanzo hadi mwisho ili ubarikiwe na ujumbe huu wa kinabii. Usisahau KUSUBSCRIBE, Kulike, na Kushare na wengin !#FPCTMbeziMakondeni #IbadaYaJumapili #KuongozwaNaSautiYaMungu #MuinjilistiAngel #NenoLaMungu #FPCT #IbadaYaPili #GospelTanzania #ChristianYouTube