Перейти к содержимому

⚠️ MAMBO 5 JIKINGE NAYO KABLA HAYAJAKUPATA! | Ustadh Yusuph Maalim | Maulid Njombe

Taqwa Media Makambako

0:00 / 0:00

⚠️ MAMBO 5 JIKINGE NAYO KABLA HAYAJAKUPATA! | Ustadh Yusuph Maalim | Maulid Njombe

39 просмотров · 7 дней назад
Taqwa Media Makambako
498 подписчиков
39 просмотров · 7 дней назад
🌙 UJUMBE WA KADHI WA WILAYA YA SONGEA KATIKA MAULID NJOMBE 🌙 Katika hafla hii ya Maulid iliyofanyika Jumapili tarehe 20/09/2026 katika Masjid Taqwa, Shipo–Airport, Njombe Mjini, Kadhi wa Wilaya ya Songea, Ustadh Yusuph Maalim, alitoa salamu za Mkoa wa Ruvuma kwa niaba ya Sheikh wa Mkoa wa Ruvuma. Katika hotuba yake, Ustadh Yusuph Maalim alisisitiza umuhimu wa kujikinga na mambo matano kabla hayajakupata. Kupitia video hii, amezungumzia mambo mawili kati ya hayo matano, akitoa mawaidha na ujumbe wa kuzingatia katika maisha ya kila siku. 🤲 🎙️ TAQWA MEDIA MAKAMBAKO Da’awah • Elimu • Maendeleo #MaulidNjombe #UstadhYusuphMaalim #KadhiWaSongea #Ruvuma #Njombe #Mawaidha #ElimuYaKiislamu #TaqwaMediaMakambako #Maulid2026