Перейти к содержимому

Ngono Inavyowezaa Maisha Yako Bila Kujua💔🔥| "Kuoa Sio Suluhu." ~ Peter John

Hub of Wisdom Inc.

0:00 / 0:00

Ngono Inavyowezaa Maisha Yako Bila Kujua💔🔥| "Kuoa Sio Suluhu." ~ Peter John

1 761 просмотр · 7 дн. назад
Hub of Wisdom Inc.
148 тыс. подписчиков
1 761 просмотр · 7 дн. назад
Jinsi ya kujiepusha na mitego ya uasherati Uzinzi sio mchezo! Mara nyingi watu huchukulia kwa wepesi, lakini ukweli ni kwamba matokeo yake ni makubwa na ya kutisha... kiroho, kimwili na kimaisha. 💔 🔥 Utajifunza: Madhara makubwa ya uzinzi kwa mtu binafsi na familia Kwa nini “dhambi ya mwili” ni tofauti na nyingine Namna ya kutubu na kurudi kwa Mungu kwa toba ya kweli 🙏🏾 🔔 Subscribe kwa H.W Media kwa mafunzo mengine ya kina kutoka kwa viongozi wa kiroho na maendeleo binafsi. 📤 Share video hii ili kuhamasisha kizazi kinachotafuta ukuu wenye misingi bora. Tunathamini maoni yako, tuandikie kwenye @hubofwisdom.inc Kushiriki mijadala hii kwa njia ya whatsApp tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 ...................................................................................................... #SexEducation #Uzinzi #Maisha #Mafundisho #ShuhudaZaKutisha #MchPeter #Motivation #LifeLessons #HekimaYaMaisha #Motivation #Inspiration #Faith #Tanzania #Kenya #Uganda #Rwanda #Burundi #YouTubeTanzania #Semina #Mahubiri