Перейти к содержимому

MAKALA FUPI KUHUSU HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA.

BUNDA DC OFFICIAL

0:00 / 0:00

MAKALA FUPI KUHUSU HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA.

58 просмотров · 2 нед. назад
BUNDA DC OFFICIAL
38 подписчиков
58 просмотров · 2 нед. назад
Jitihada za Serikali za kuboresha huduma za afya nchini zinaendelea kuonekana kupitia ujenzi na uboreshaji wa miundombino katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, hatua inayolenga kuimarisha mazingira ya utoaji huduma na kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na salama.