🔴 ETI KUUZA VIATU KUNA PESA SANA, SIKILIZA MBINU ZA KAKA HAPA. ANASEMA VIJANA TUJITUME SANA KAZINI
Moreflex Media
0:00 / 0:00
🔴 ETI KUUZA VIATU KUNA PESA SANA, SIKILIZA MBINU ZA KAKA HAPA. ANASEMA VIJANA TUJITUME SANA KAZINI
13 просмотров · 2 мес. назад
Moreflex Media
50 подписчиков
13 просмотров · 2 мес. назад
Leo tume mkuta huyu kaka ambaye anauza viatu hapa Dzaleka. Anasema ana mda mrefu sana anafanya hii kazi, tangu mwaka 2017 yupo tu anafanya kazi.
Uzoefu umemfanya awe anajuwa kila kitu ambacho anauza bila shaka.
Ila tu changa moto ni nyingi ambazo aziwezi pingika, kama kufikiwa nawatu wengi kwa mkupuo.
Ana julisha vijana ambao awapendi kujituma kufanya kazi wafanye kazi kwasababu hela bwana aina rafiki na aina formula yakujia. Kukosa kufanya kazi kuna tuma vijana waanze kuwa wezi, kuvuta bangi na pombe sana.
Bwana ni mtu ambaye anajituma sana, na anawatakia wateja wake uwingi wa pesa ili waje wanunuwe viatu.
Tufanye kazi bwana.
#moreflexmedia #moreflex #moreblessings #controlingtheworldofnews