IBADA YA MAOMBI
MAJIRA YA UAMSHO TV
0:00 / 0:00
IBADA YA MAOMBI
29 просмотров · Трансляция закончилась 2 недели назад
MAJIRA YA UAMSHO TV
97 подписчиков
29 просмотров · Трансляция закончилась 2 недели назад
Karibu katika kanisa la CAG Buhongwa, Mwanza, ibada zetu za wiki ni siku ya Jumatano saa 9:30 jioni mpaka saa 12:00 jioni, Ijumaa saa 9:30 mpaka saa 12:00 jioni, na Jumamosi ni kipindi cha majira ya uamsho, saa 3:00 usiku mpaka saa 4:30 usiku, popote ungana nasi maana umbali sio kizuizi, kwenye uwepo wa Roho Mtakatifu, na ukiamini utapokea muujiza wako katika jina la Yesu