WATANZANIA 174 WAISHUKURU SERIKALI KWA KUREJESHWA NCHINI KUTOKA AFRIKA KUSINI
Nipashe Digital
0:00 / 0:00
WATANZANIA 174 WAISHUKURU SERIKALI KWA KUREJESHWA NCHINI KUTOKA AFRIKA KUSINI
7 168 просмотров · 1 день назад
Nipashe Digital
6,68 тыс. подписчиков
7 168 просмотров · 1 день назад
Watanzania 174 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu Natal nchini Afrika Kusini wameishukuru Serikali kwa kuwawezesha kurejea nchini baada ya kukumbwa na vitisho na madhila yaliyowafanya kuishi kwa hofu na kushindwa kuendelea na shughuli zao za kujipatia kipato.
Watanzania hao wamewasili nchini kwa ndege ya Air Tanzania baada ya kuiomba Serikali iwasaidie kurejea kutokana na hali ya usalama kuwa mbaya kufuatia vitendo vya baadhi ya wazawa dhidi ya wageni, hali waliyosema iliweka maisha yao hatarini.