BAGONZA AMJIBU MAKONDA | MWABUKUSI HATARINI KUPOTEZA UWAKILI? , MVUTANO WA M\MSIGWA NA CCM
HARAKATI TV
0:00 / 0:00
BAGONZA AMJIBU MAKONDA | MWABUKUSI HATARINI KUPOTEZA UWAKILI? , MVUTANO WA M\MSIGWA NA CCM
11 387 просмотров · 1 дн. назад
HARAKATI TV
101 тыс. подписчиков
11 387 просмотров · 1 дн. назад
BAGONZA AMJIBU MAKONDA | MWABUKUSI HATARINI KUPOTEZA UWAKILI? , MVUTANO WA M\MSIGWA NA CCM
katika ZILIZOKIKI! Kipindi kinachokuletea habari zilizotrend ndani ya saa 24, uchambuzi wa kisiasa na kauli zinazozua mijadala mikubwa nchini Tanzania.
Katika kipindi hiki, tunakuletea mjadala ulioibuka baada ya Askofu Dkt. Benson Bagonza kutoa ujumbe kuhusu kuikosoa Serikali inapokosea na kuipongeza inapofanya vizuri, huku baadhi ya watu wakitafsiri ujumbe huo kuwa huenda unahusiana na kauli ya Waziri Paul Makonda.
Pia, tunachambua sakata la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Rais wake, Wakili Boniface Mwabukusi, pamoja na maswali yanayoibuka kuhusu shauri linalomkabili mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Maadili ya Mawakili.
Katika siasa za vyama, Kenani Kihongosi ametoa madai kuhusu sababu za Mchungaji Peter Msigwa kuondoka CCM na kurejea Chadema, huku Msigwa akikanusha madai ya kuomba vyeo na kusisitiza kuwa aliamua kuondoka mwenyewe.
Aidha, tunakuletea tukio la ukaguzi wa barabara mkoani Mbeya, ambapo Makamu wa Rais Deogratius Ndejembi ameripotiwa kukerwa na maelezo kuhusu ufunguaji wa barabara ya njia nne.
Je, nini hasa kinaendelea katika kila sakata? Ni madai gani yametolewa, majibu yanasemaje, na ni maswali gani muhimu ambayo Watanzania wanapaswa kujiuliza?
Karibu HARAKATI TV, mahali ambapo unapata habari za siasa Tanzania zinazochambuliwa kwa kina, mjadala wa kisiasa, na uchambuzi wa matukio yanayoshughulisha nchi. Tunaleta habari za Tanzania leo, breaking news Tanzania, na taarifa muhimu kutoka bunge la Tanzania, viongozi wa serikali, na vyama vya siasa kama CCM, CHADEMA, ACT Wazalendo.
Hapa, utapata kauli za wanasiasa, mjadala mitandaoni Tanzania, na uchambuzi wa hotuba unaokupa mwanga juu ya migogoro ya kisiasa, siasa za uchaguzi Tanzania, na mwelekeo wa siasa za nchi. Tunaangazia pia political commentary Tanzania, Tanzania political analysis, na Tanzania news analysis ili kukusaidia kuelewa matukio yote muhimu ya kisiasa nchini.
Subscribe ili usikose breaking political news, habari za kisiasa leo, na uchambuzi wa kina wa Tanzania politics today. Jiunge nasi kwenye mjadala wa kisiasa, toa maoni yako, na uwe sehemu ya jamii ya watu wanaopenda siasa Tanzania.
🔔 SUBSCRIBE / @harakatitv
#siasatanzania #PoliticalAnalysis #TanzaniaPolitics #ccm #chadema #tundulissu #HabariZaSiasa #breakingnews