ILIPO HAZINA YAKO || MWANAUME UNATEMBEA NA UFUNUO GANI? || PROPHET FREDY CHAVALA || TAI TV
Tai TV
0:00 / 0:00
ILIPO HAZINA YAKO || MWANAUME UNATEMBEA NA UFUNUO GANI? || PROPHET FREDY CHAVALA || TAI TV
51 просмотр · 1 мес. назад
Tai TV
104 подписчика
51 просмотр · 1 мес. назад
Tunapoendelea na mfululizo wa somo letu la "ILIPO HAZINA YAKO", leo tunaingia Sehemu ya Nne ambapo utajifunza kwa kina kuhusu swali la msingi: Mwanaume Unatembea Na Ufunuo Gani?
Je, unajua kwamba kama mwanaume, ufunuo unaotembea nao ndio unaolinda au kuharibu hazina na hatima yako? Ungana nasi katika somo hili ambapo tutawaangazia kwa kina Samsoni na Yesu Kristo tukiona jinsi Samsoni alivyofanya makosa na kuanguka kwa kukosa ufunuo, na jinsi Yesu Kristo alivyosimama imara bila kuyumba kwa sababu ya kutembea katika ufunuo wa Baba.
Pokea hekima ya Kiungu itakayokusaidia kulinda hazina yako na kusimama kama mwanaume wa ufunuo!
🔔 USISAHAU KUSUBSCRIBE, KULIKE, NA KUSHARE!
Kama somo hili limekugusa, tafadhali bonyeza button ya Subscribe na uwashe kengele 🔔 ya taarifa ili uwe wa kwanza kupata vipindi vyetu vipya kila vinapotoka.
Feel free to drop your comments, greetings, and prayer requests in the chat. Let’s worship together!
UNAWEZA KUMTOLEA MUNGU SADAKA YAKO KUPITIA:
Sadaka: 19364648 LIPA YAS
Sadaka: 5018851 LIPA VODA
Sadaka: EQUITY BANK 3013211793619
#eagleschapel
#jesusalone