USHINDI UNAOSHINDA ULIMWENGU (Imani Yetu) PART 1 || PROPHET FREDY CHAVALA || TAI TV
Tai TV
0:00 / 0:00
USHINDI UNAOSHINDA ULIMWENGU (Imani Yetu) PART 1 || PROPHET FREDY CHAVALA || TAI TV
53 просмотра · 2 нед. назад
Tai TV
104 подписчика
53 просмотра · 2 нед. назад
Katika somo hili, utajifunza kuwa ushindi wa kweli hauanzii kwenye jitihada au vita vyako vya nje, bali unazaliwa katika utambulisho wako yaani asili yako. ushindi unaanza pale unapojitambua kuwa umezaliwa na Mungu. Asili yako ya kiungu ndiyo inayokupa mamlaka na msingi wa kushinda kila jaribu na changamoto.
Kupitia ujumbe huu utajifunze jinsi utambulisho wako ndani ya KRISTO YESU unavyobadili mtazamo wako wa kimaisha, na kwa nini kutambua asili yako ya kuzaliwa na Mungu ndiyo hatua ya kwanza kabisa ya kutembea katika ushindi unaoshinda ulimwengu.
"Kwa maana kila kitu kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kukuoshindako ulimwengu, hiyo imani yetu." 1 Yohana 5:4
📌 Usikose Sehemu Zinazofuata!
🙏 Kama umebarikiwa na ujumbe huu, Like, Share na Subscribe kwenye channel yetu ili ujumbe huu uwafikie wengine.
Feel free to drop your comments, greetings, and prayer requests in the chat. Let’s worship together!
UNAWEZA KUMTOLEA MUNGU SADAKA YAKO KUPITIA:
Sadaka: 19364648 LIPA YAS
Sadaka: 5018851 LIPA VODA
Sadaka: EQUITY BANK 3013211793619
#eagleschapel
#jesusalone