Перейти к содержимому

Wakulima wanatarajiwa kunufaika na kituo cha kuzalisha miche .

Undugu TV

0:00 / 0:00

Wakulima wanatarajiwa kunufaika na kituo cha kuzalisha miche .

0 просмотров · 20 часов назад
Undugu TV
11,3 тыс. подписчиков
0 просмотров · 20 часов назад
Wakulima katika Kaunti ya Kirinyaga wanatarajiwa kunufaika kutokana na kituo kipya cha kuzalisha miche. Miche hii inatarajiwa kuwa ya bei nafuu na yenye uwezo wa kustahimili makali ya mabadiliko ya tabianchi. Kituo hiki kina uwezo wa kuzalisha hadi miche 400,000 ya mazao kama nyanya, kabichi, sukuma wiki, mchicha na managu.