KWA NINI FARU NI MUHIMU KATIKA MFUMO WA IKOLOJIA?
TANAPA DIGITAL
0:00 / 0:00
KWA NINI FARU NI MUHIMU KATIKA MFUMO WA IKOLOJIA?
1 073 просмотра · 4 нед. назад
TANAPA DIGITAL
487 подписчиков
1 073 просмотра · 4 нед. назад
Faru ni sehemu muhimu ya mfumo wa ikolojia. Kupitia shughuli zake za kila siku, huchangia katika usawazishaji wa mazingira, uendelezaji wa uoto wa asili na uhifadhi wa bioanuwai.
Kumhifadhi faru si kumlinda mnyama mmoja tu ni kulinda mfumo mzima wa ikolojia na urithi wa asili kwa vizazi vijavyo.
Tumlinde Faru. Tuhifadhi Ikolojia.
#WorldRhinoDay #SikuYaFaruDuniani #RhinoConservation #TANAPA #Conservation #Tanzania