Tumekwisha kuwa safi
LeMi 360 online Tv
0:00 / 0:00
Tumekwisha kuwa safi
4 просмотра · 20 ч назад
LeMi 360 online Tv
138 подписчиков
4 просмотра · 20 ч назад
Zipo juhudi nyingi zinafanywa na watu katika nyumba za Ibada na nje ya nyumba hizo kumfanya Mtu akubalike na Mungu. Juhudi hizo hazijaanza leo, tangu baada ya anguko la Adamu Mwanadamu amekuwa akijitahidi kuwa msafi kwa namna yake mwenyewe pasipo mafanikio . Ukweli ni kwamba usafi unaotafutwa uko katika neno na siy o bidii ya matendo. Karibu tujifunze pamoja