Перейти к содержимому

JWTZ yamwaga ajira kwa madaktari na fani nyingine za tiba

Azam TV

0:00 / 0:00

JWTZ yamwaga ajira kwa madaktari na fani nyingine za tiba

9 341 просмотр · 8 лет назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
9 341 просмотр · 8 лет назад
Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa madaktari wa binadamu na fani nyingine za tiba. Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa jeshi hilo Kanali Ramadhan Dogoli amesema lengo ni kuongeza idadi ya wataalam wa huduma za afya katika hospitali, zahanati na vituo vya afya vya vya jeshi. Dogoli amewataka wenye sifa stahiki wafike katika kambi ya Jen. Abdallah Twalipo Mgulani Dar es Salaam, Agosti 28 mwaka huu wakiwa na vyeti halisi kwaajili ya usaili.