Перейти к содержимому

Mkuu wa Mkoa Mwanza atangaza tahadhari dhidi ya maambukizi ya Corona

BMG Digital

0:00 / 0:00

Mkuu wa Mkoa Mwanza atangaza tahadhari dhidi ya maambukizi ya Corona

1 649 просмотров · 5 лет назад
BMG Digital
110 тыс. подписчиков
1 649 просмотров · 5 лет назад
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel amewataka wananchi na viongozi mbalimbali mkoani Mwanza kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona (Covid 19) kwa kuzingatia kanuni zinazotolewa na wataalamu wa afya ikiwemo kutakasa mikono, kunawa mikopo kwa maji tiririka na sabuni pamoja na kuepuka misongamano. Mhandisi Gabriel ametoa tahadhari hiyo Juni 25, 2021 kufuatia tishio la kuibuka kwa wimbi la tatu la maambukizi ya ugonjwa wa Corona katika mataifa mbalimbali duniani na kueleza kuwa kutokana na muingiliano ya watu ni vyema tahadhari zilizochukuliwa hapo awali zikazingatiwa tena katika kipindi hiki. Tovuti @BMG BLOG https://www.bmgblog.co.tz/ Facebook @BMG HABARI   / bmghabari   Twitter @bmghabari   / bmghabari   Instagram @bmghabari   / bmghabari   #BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI #PamojaDaimaBMG