Nani Aliyebuni Jina TANZANIA?Historia Ambayo Wengi Hawaijui | Mohammed Said
Kalamutz
0:00 / 0:00
Nani Aliyebuni Jina TANZANIA?Historia Ambayo Wengi Hawaijui | Mohammed Said
11 250 просмотров · 4 дн. назад
Kalamutz
239 тыс. подписчиков
11 250 просмотров · 4 дн. назад
ANZANIA ILIITWAJE TANZANIA? | MOHAMMED SAID
Tarehe 1 Novemba 1964,jina TANZANIA lilianza kutumika rasmi katika utambulisho wa kimataifa wa taifa lililoundwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Lakini jina Tanzania lilitoka wapi? Nani alilipendekeza na kwa nini lilichaguliwa kati ya majina mengine?
Katika kipindi hiki cha KalamuTZ,mwanahistoria Mohammed Said anatufungulia ukurasa wa historia ya jina Tanzania kupitia simulizi ya Mohammed Iqbal Dar, kijana wa asili ya Kihindi aliyeishi Tanganyika na kushiriki katika shindano la kupendekeza jina la taifa jipya lililotangazwa kupitia magazeti mwaka 1964.
Tunafahamu historia ya shindano hilo,mchango wa Mohammed Iqbal Dar na safari ya kutoka jina Tanganyika hadi Tanzania.
Ni historia inayotukumbusha kwamba nyuma ya majina tunayoyatumia kila siku kuna watu, matukio na simulizi ambazo vizazi vinapaswa kuzifahamu.
Karibu KalamuTZ, mahali ambapo historia inasimuliwa, inachambuliwa na kuhojiwa.
#KalamuTZ #MohammedSaid #MohammedIqbalDar #HistoriaYaTanzania #Tanganyika #Tanzania1964