PURPOSE LIFE: KUSUDI LA MAISHA YAKO. utangulizi|JOSEPHAT KATO
Josephat kato
0:00 / 0:00
PURPOSE LIFE: KUSUDI LA MAISHA YAKO. utangulizi|JOSEPHAT KATO
80 просмотров · 4 дня назад
Josephat kato
266 подписчиков
80 просмотров · 4 дня назад
Kila kitu tunachokitumia Leo katika maisha ya Kila siku kina sababu yake au kusudi lake. Kila kitu kimetengenezwa kufanya kazi maalumu katika mazingira maalumu.
katika podcast hii tutakwenda kuona kwa utangulizi maana ya kusudi kwa mwanadamu.
kwanini mwanadamu yupo duniani,
pia huu ni mwendelezo wa series ya purpose life. yenye lengo la kukufanya uweze kugundua kusudi lako na kuishi maisha yenye maana na Yale uliyokusudiwa kuyaishi,
series hii itaenda hatua kwa hatua mpaka tutakapomaliza hatua ya mwisho kabisa. usipange kukosa kusikiliza na kualika wengine ili tujenge thamani kwenye maisha yetu......... na series inayofata tutaanza kuona namna gani unaweza kugundua kusudi lako, hivyo usipange kukosa pia.....
discover your purpose live the life you are born to live everything is possible
#kusudiLamaisha #purpose #purposedrivenlife #rickwarren #purposeoflife #kusudi #josephatKato#purposeLifeseries #whatareMyPurpose.