MAADUI_3_WANOANGAMIZA_NDOTO_ZAKO.| JOSEPHAT KATO.
Josephat kato
0:00 / 0:00
MAADUI_3_WANOANGAMIZA_NDOTO_ZAKO.| JOSEPHAT KATO.
209 просмотров · 3 нед. назад
Josephat kato
264 подписчика
209 просмотров · 3 нед. назад
Je, unajiuliza kwanini unapanga mipango mikubwa lakini unajikuta huchukui hatua? Au kwanini kile unachokipanga kinaishia njiani?
Kuna maadui watatu wa ndani wanaofanya kazi kimya kimya kuua ndoto zako kabla hata hazijazaliwa. maadui hawa, wanatengeneza mfumo unaoitwa Utatu wa Sumu.
Katika kipindi hiki, nakwenda kukuonyesha maadui hawa ni akina nani, jinsi wanavyojificha kwenye fikra zako za kila siku, na hatua thabiti unazoweza kuchukua kuanzia leo ili kuwakabili na kujenga nidhamu mpya.
Tazama/Sikiliza kipindi hiki mpaka mwisho na usahau kuhusu kuahirisha mambo!
Kumbuka: Usikubali hali yako ya sasa iwe ndio mwisho wako.
#NapoleonHill #ThinkAndGrowRich #MaaduiWaMafanikio #MotishaKiswahili #JosephatKato #PodcastYaKiswahili#visionary #fear #doubt #indecision #publicspeaking