Перейти к содержимому

Baraka Minga_yupo Mungu mbinguni__anae jibu maombi

Minister Baraka Minga

0:00 / 0:00

Baraka Minga_yupo Mungu mbinguni__anae jibu maombi

185 просмотров · 11 дн. назад
Minister Baraka Minga
416 подписчиков
185 просмотров · 11 дн. назад
Mungu aki kwahidi jambo huwa ha badilikagi akikwahidi chochote kuwa ata kupatia au ata ku milikisha amini kuwa ni chako amini kuwa kita tokea kipokee kwa imani na kwa furaha kubwa mno Wagalatia 3:6 Kama vile Ibrahimu alivyomwamini Mungu akahesabiwa haki. Yakobo 2:23 Maandiko yale yakatimizwa yaliyonena, Ibrahimu alimwamini Mungu, ikahesabiwa kwake kuwa ni haki; naye aliitwa rafiki wa Mungu. Ikiwa ni Mungu ame kwahidi ata kama umri una enda muda una enda hilo jambo hali timii usichoke kusibili na kuli atamia kwa maombi na sadaka. kwa wakati na majila yale Mungu aliyo kusudia kuli timiza hilo jambo ata kutimizia Isaya 55:11 ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma. Neno la Mungu hali achiliwagi bule Mungu sio mwongo wala sio kigeu geu 》》MWAMINI MUNGU ANAPENDA WATU WENYE IMANI