JINSI MOYO WA IBADA UNAVYO CHOCHEA UTAWALA - S1EP5
Maombi Madhabahuni
0:00 / 0:00
JINSI MOYO WA IBADA UNAVYO CHOCHEA UTAWALA - S1EP5
250 просмотров · Трансляция закончилась 1 год назад
Maombi Madhabahuni
2,17 тыс. подписчиков
250 просмотров · Трансляция закончилась 1 год назад
Kupitia MTIRIRIKO WA MAOMBI HAYA YA ASUBUHI; Mtumishi wa BWANA atakufundisha na kukusaidia katika mambo yafuatayo:
NI JINSI GANI MTU MWOMBAJI HUWEZA KUINUKA KUTOKA HATUA MOJA YA UTAWALA HATA NYINGINE
Maisha ni zaidi ya mechi ya Simba na Yanga Jinsi MAOMBI YA ASUBUHI yanavyoweza kukusaidia katika kuzishinda nguvu za kishetani.
Jinsi ya kuomba MAOMBI YA ASUBUHI ili KUZISHINDA NGUVU ZA GIZA
Maombi asubuhi kama silaha ya kuwashinda maadui zako
Nguvu ya maombi ya asubuhi katika kukupatia ushindi dhidi ya maadui zako wote.
Jinsi ya kuomba na kupambana na nguvu za giza kila siku asubuhi
Jinsi ya kuomba maombi ya vita vya kiroho
Jinsi ya kuomba ili kupokea majibu ya maombi yako kila siku
Nguvu ya maombi ya asubuhi katika kukuwezesha kurejeshewa Baraka zako zilizokuwa zimekamatwa na maadui zako
Nguvu ya kupata kibali kipya katikati ya maadui zako.
Jinsi ya kupokea msaada mpya wa kiungu wakati wa mapambano ya vita vya kiroho
Jinsi ya kujenga madhabahu ya maombi ya asubuhi, ili kuchochea kuzaliwa kwa mambo mazuri kila siku
Jinsi ya kujiungamanisha na malaika wa mchana kupitia madhabahu ya maombi
Jinsi ya kuomba ili kuzishinda nguvu za giza
MUHIMU KUMBUKA:
Maombi haya ya asubuhi ni sehemu ya mtiririko wa ibada za GURUDUMU LA KINABII; Ibada mbazo zimesheheni moto na asili mbalimbali za BWANA Mungu wetu na Kristo wake hakika.
#Simba
#Yanga
##MaombiYaAsubuhi
ENDELEA KUFUATILIA.