MAZZANA AISHAURI SERIKALI KUWEKEZA ELIMU YA AFYA, ATOA ONYO KUHUSU MATUMIZI YA POMBE KALI
Dodoma Tv
0:00 / 0:00
MAZZANA AISHAURI SERIKALI KUWEKEZA ELIMU YA AFYA, ATOA ONYO KUHUSU MATUMIZI YA POMBE KALI
45 просмотров · 2 дн. назад
Dodoma Tv
31,1 тыс. подписчиков
45 просмотров · 2 дн. назад
#dodomafmradio #Breaking #News #Habarifupi #DodomaTV #Habari #Tanzania #News #Dodoma #Live #BreakingNews #shortsfunny
Mbunge wa Viti Maalumu na Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Beng'i Mazzana Issa, ameitaka Serikali kuongeza uwekezaji katika programu za elimu ya afya kwa wananchi ili kuwajengea uelewa wa kujikinga na magonjwa.
Akichangia mjadala wa Mpango wa Maendeleo Bungeni, Mazzana amesisitiza umuhimu wa Wizara ya Afya kutoa elimu kuhusu madhara ya matumizi ya pombe kali, akitolea mfano wa baadhi ya vijana wanaofanya shughuli za bodaboda ambao wanatumia pombe hizo, hali inayoweza kuhatarisha afya zao na kuathiri nguvu kazi ya taifa.
Amesema elimu ya afya ni sehemu muhimu ya kuzuia magonjwa na kulinda ustawi wa wananchi.
WATCH DODOMA TV📺
STAR TIMES - 113 || DODOMA CABLE 102 || MANENO CABLE - 18
Copyright © 2022 Dodoma Media Group. All Rights Reserved.