Перейти к содержимому

NSSF LINDI YAONGEZA MAKUSANYO MARA TANO KUFIKIA BILIONI 1.2

BREEZY ONLINE MEDIA

0:00 / 0:00

NSSF LINDI YAONGEZA MAKUSANYO MARA TANO KUFIKIA BILIONI 1.2

31 просмотр · 3 нед. назад
BREEZY ONLINE MEDIA
72 подписчика
31 просмотр · 3 нед. назад
NSSF LINDI YAONGEZA MAKUSANYO MARA TANO KUFIKIA BILIONI 1.2 Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Lindi, umeongeza makusanyo kutoka Shilingi Milioni 300.9 katika kipindi cha robo ya kwanza ya Mwaka wa fedha 2021-2022, hadi kufikia Shilingi Bilioni 1.2 robo ya kwanza ya Mwaka wa fedha 2026-2027. Hayo yameelezwa na Meneja wa Mfuko wa NSSF Mkoa wa Lindi, Bw. Juma Namuna, alipokuwa akizungumza wakati wa kuhitimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja. Namuna amesema ukuaji huo ni mara tano zaidi, huku akieleza kuwa pamoja na mafanikio hayo bado ipo changamoto ya utekelezaji wa Sheria kutoka kwa baadhi ya waajiri ya kutolipa kwa wakati michango ya wanachama. Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Mhe. Victoria Mwanziva, aliyetumia fursa hiyo kuwasisitiza NSSF kuendelea kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko huo ili waweze kunufaika na mafao mbalimbali yanayotolewa na mfuko. Baadhi ya wanachama wa mfuko huo wameeleza namna wanavyonufaika na huduma za NSSF, ikiwemo kupata Matiba na mafao baada ya kustaafu. #lindi #tanesco #tunaangazamaishayako #tanzania tanza