Msalaba Ndio Asili Ya Wema-Nyimba Za Pasaka 2026
praisewave africa
0:00 / 0:00
Msalaba Ndio Asili Ya Wema-Nyimba Za Pasaka 2026
1 784 просмотра · 6 месяцев назад
praisewave africa
3,78 тыс. подписчиков
1 784 просмотра · 6 месяцев назад
Msalaba Ndio Asili Ya Wema-Nyimba Za Pasaka 2026
[verse 1]
Si oni haya kwa Bwana, Kwake nitang'ara!
Mti wake sitakana, Ni neno imara.
[chorus]
Msalaba ndio asili ya mema, Nikatua mzigo hapo;
Nina uzima, furaha daima, Njoni kafurahini papo.
[verse2]
Kama kiti chake vivyo, Ni yake ahadi;
Alivyowekewa navyo, Kamwe, havirudi.
[chorus]
Msalaba ndio asili ya mema, Nikatua mzigo hapo;
Nina uzima, furaha daima, Njoni kafurahini papo.
[instrumental]
[verse 3]
Bwana wangu, tena Mungu, Ndilo lake jina!
Hataacha roho yangu, Wala kunikana.
[chorus]
Msalaba ndio asili ya mema, Nikatua mzigo hapo;
Nina uzima, furaha daima, Njoni kafurahini papo.
[vere 4]
Atakiri langu jina, Mbele za Babaye,
Anipe pahali tena, Mbinguni nikae.
[chorus]
Msalaba ndio asili ya mema, Nikatua mzigo hapo;
Nina uzima, furaha daima, Njoni kafurahini papo.
[chorus]
Msalaba ndio asili ya mema, Nikatua mzigo hapo;
Nina uzima, furaha daima, Njoni kafurahini papo.
#MsalabaNdioAsiliYaWema #TenziZaRohoni #SwahiliHymns #TheCross #GospelMusic2026 #AfricanWorship #KenyaGospel #TanzaniaWorship