Перейти к содержимому

"FUATILIENI MITANDAONI MUONE, TUHUMA TUNAZOPEWA NA MZITATUE KWA HARAKA" RAIS SAMIA

ITV Tanzania

0:00 / 0:00

"FUATILIENI MITANDAONI MUONE, TUHUMA TUNAZOPEWA NA MZITATUE KWA HARAKA" RAIS SAMIA

11 052 просмотра · 1 дн. назад
ITV Tanzania
1,38 млн подписчиков
11 052 просмотра · 1 дн. назад
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 2, 2026, anatarajiwa kuwaapisha viongozi wanne aliowateua hivi karibuni katika hafla itakayofanyika saa 5:00 asubuhi, Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Viongozi watakaoapishwa ni Bi. Angeline Lubala Mabula, ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Bw. Dunford George Mpelumbe kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, pamoja na Bw. Omar Ali Omar kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo. Aidha, Jaji Mstaafu Wilfred Peter Dyansobera ataapishwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi, pamoja na Makamishna wa Tume hiyo.