Перейти к содержимому

Je, wanawake wa Rwanda wana uhuru kiasi gani wa kuvaa wanachotaka?

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

Je, wanawake wa Rwanda wana uhuru kiasi gani wa kuvaa wanachotaka?

191 просмотр · 2 дня назад
DW Kiswahili
335 тыс. подписчиков
191 просмотр · 2 дня назад
Nchini Rwanda kunaendelea mjadala mkali kuhusu mtindo wa mavazi yanayovaaliwa hasa na wanawake na wasichana katika sehemu za umma na mahali pengine penye mkusanyiko wa watu. Mamlaka zinasema hairuhusiwi mtu kuvaa nguo fupi kupindukia katika khafla na matamasha kwa sababu baadhi ya nguo zinaonyesha baadhi ya sehemu za mwili wa mtu. Je, wanawake nchini humo watakuwa na uhuru kiasi gani katika kujiamulia wanachovaa?