Перейти к содержимому

RECAP YA GOSPEL 2025, KUFELI, MABORESHO NA MAFANIKIO KIWANDA CHA INJILI YAWEKWA WAZI.

Chomoza Digital

0:00 / 0:00

RECAP YA GOSPEL 2025, KUFELI, MABORESHO NA MAFANIKIO KIWANDA CHA INJILI YAWEKWA WAZI.

35 просмотров · 9 месяцев назад
Chomoza Digital
10,1 тыс. подписчиков
35 просмотров · 9 месяцев назад
Recap ya Gospel 2025 Team Chomoza na Gospel Traxx kutoka Mkengoni Clouds. Zimekaa kufanya Mapitio ya Mwaka 2025 kuangazia mafanikio ya Kiwanda cha Gospel ndani ya Tanzania na nje. Mengi yamezungumzwa yakiwemo mafanikio, changamoto na maboresho yaliyofanyika kuipa heshima huduma ya Injili. Hapa umezungumzwa Muziki wa Injili, Matamasha ya Injili, Waimbaji wa Muziki wa Injili, Wahubiri pamoja na Watumishi wa Mungu wote wanaotumika madhabahuni.