Перейти к содержимому

LIVE: BARUA FEKI YA LISSU KUNYONGWA: SERIKALI YAFICHUA UKWELI!

HARAKATI TV

0:00 / 0:00

LIVE: BARUA FEKI YA LISSU KUNYONGWA: SERIKALI YAFICHUA UKWELI!

70 964 просмотра · Трансляция закончилась 11 ч назад
HARAKATI TV
103 тыс. подписчиков
70 964 просмотра · Трансляция закончилась 11 ч назад
LIVE: BARUA FEKI YA LISSU KUNYONGWA: SERIKALI YAFICHUA UKWELI! NANI AMEITENGENEZA BARUA FEKI NA KWA LENGO GANI? Kuna taarifa nzito inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikidai kuwa kuna agizo rasmi la kumhukumu Tundu Antipasi Lissu kunyongwa hadi kufa. Taarifa hiyo imeibua maswali mengi, hasa katika kipindi hiki ambacho hukumu ya kesi yake ya uhaini inakaribia kutolewa. Serikali kupitia taarifa yake imekanusha uvumi huo na kueleza kuwa taarifa hiyo ni feki, yenye nia ya kupotosha umma na kuzua taharuki. Katika uchambuzi huu wa Harakati TV, tunajiuliza maswali muhimu: Nani aliitengeneza barua hiyo inayosambaa mitandaoni? Imeandaliwa kwa lengo gani? Kwa nini taarifa hiyo imeibuka katika kipindi hiki? Kuna nini nyuma ya kusambazwa kwa taarifa hiyo siku moja kabla ya hukumu ya kesi ya Tundu Lissu? Tunachambua taarifa hiyo, kauli ya Serikali na maswali yanayohitaji majibu, huku tukisisitiza umuhimu wa kuthibitisha taarifa kupitia vyanzo rasmi. 📌 TAZAMA VIDEO HII HADI MWISHO, TOA MAONI YAKO NA USHIRIKI NA WENGINE. 🔴 SUBSCRIBE HARAKATI TV kwa habari za Tanzania, uchambuzi wa kisiasa na matukio yanayogusa jamii. #TunduLissu #JohnHeche #chademalive, #CHADEMA #CCM #UVCCM #SiasaTanzania #HabariTanzania #harakatitv #TanzaniaLIVE #HarakatiTV