CHADEMA WAMJIBU KAMANDA MULIRO - "KESI YA LISSU SIKU 500 HATUJAWAHI KUFANYA VURUGU"
Global TV Online
0:00 / 0:00
CHADEMA WAMJIBU KAMANDA MULIRO - "KESI YA LISSU SIKU 500 HATUJAWAHI KUFANYA VURUGU"
1 513 просмотров · 2 ч назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
1 513 просмотров · 2 ч назад
CHADEMA WAMJIBU KAMANDA MULIRO - "KESI YA LISSU SIKU 500 HATUJAWAHI KUFANYA VURUGU"
Kuelekea siku ya hukumu ya Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, chama hicho kimejitokeza na kutoa tamko zito kuhusu madai yaliyotolewa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia Kamanda Jumanne Muliro.
CHADEMA yakanusha vikali madai ya kupanga vurugu mahakamani na kuweka wazi kuwa kwa zaidi ya siku 500 za mwenendo wa kesi hiyo, hawajawahi kuvunja amani. Katika hatua nyingine, chama hicho kimetoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kusikiliza hukumu hiyo na kutoa rai kesi hiyo irushwe mubashara (live) ili umma ujionee ukweli.
#TunduLissu #CHADEMA #KamandaMuliro #HukumuYaLissu #SiasaZaTanzania #HabariZaSiasa #GlobalTVOnline
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com