MHE. SINANI ACHANGIA MIFUKO 30 YA SARUJI KUJENGA DARAJA TANGAAZO
Faruku Ngonyani
0:00 / 0:00
MHE. SINANI ACHANGIA MIFUKO 30 YA SARUJI KUJENGA DARAJA TANGAAZO
63 просмотра · 1 дн. назад
Faruku Ngonyani
924 подписчика
63 просмотра · 1 дн. назад
Diwani wa Kata ya Msangamkuu pia Mwenyekiti wa kamati ya uchumi Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Mhe. Mahmoud Sinani amekabidhi mifuko ya saruji 30 ili kujenga Daraja la mbuyuni linalotumiwa na wananchi kwenye shughuli za kichumi kwa kata za Tangazo,Madimba,Mahurunga na maeneo mengine.
Daraja hilo kwa sasa limejengwa kienyeji na wananchi wenyewe hali inayohatarisha maisha yao kwani mto uliopo hapo ndani yake kuna wanyama wakali aina ya mamba.
FULL VIDEO TUMEKUWEKEA HAPO JUU