Перейти к содержимому

NYUMBA YA BI. VUMILIA WA MBAE MTWARA YATEKETEA NA MOTO

Faruku Ngonyani

0:00 / 0:00

NYUMBA YA BI. VUMILIA WA MBAE MTWARA YATEKETEA NA MOTO

103 просмотра · 3 нед. назад
Faruku Ngonyani
924 подписчика
103 просмотра · 3 нед. назад
Nyumba ya Bi. Vumilia Ally, mkazi wa Mtaa wa Mbae Chundi, Kata ya Ufukoni, Manispaa ya Mtwara Mikindani, imeteketea kwa moto usiku wa Oktoba 09, 2026 na kusababisha hasara ya mali na vitu vyote vilivyokuwemo ndani. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika hadi sasa.