"TAKUKURU KAMATA HAWA" VIGOGO RUWASA WAINGIA KWENYE 18 ZA WAZIRI MKUU AGEUKA MBOGO..
OFFTRACK TV
0:00 / 0:00
"TAKUKURU KAMATA HAWA" VIGOGO RUWASA WAINGIA KWENYE 18 ZA WAZIRI MKUU AGEUKA MBOGO..
240 просмотров · 2 года назад
OFFTRACK TV
176 тыс. подписчиков
240 просмотров · 2 года назад
#OFFTRACKTV #offtracktv #wazirimkuu #kassimmajaliwa #RUWASA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 08, 2024 amefanya ziara katika ofisi za RUWASA zilizopo Manispaa ya Lindi na kuhoji sababu ya kutotumika kwa pikipiki zilizonunuliwa na RUWASA Mkoa wa Lindi tangu mwaka 2021 kwa ajili ya kuzigawa kwa jumuiya za watumia maji kwa madai kuwa bado hazijapata usajili. “Huu ni uzembe haiwezekani fedha za wananchi zinapotea nyie mpo tu. Hizi pikipiki zimeanza kuharibika.”
.......
Amuagiza Waziri Aweso kufuatilia utendaji kazi wa mamlaka hiyo
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Maji Jumaa Aweso kufika katika ofisi za wakala wa Maji na usafi Mazingira Vijijini Mkoa wa Lindi (RUWASA) na Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Lindi (LUWASA) kufuatilia mapungufu yaliyopo ikiwemo kutotumika kwa gari la uchimbaji visima lililotolewa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tangu Juni, 2023 ili kuwezesha uchimbaji wa visima vya maji.
.....
Karibu kujiunga na Channel yetu ya WhatsApp kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 https://whatsapp.com/channel/0029VaDF...
KWA HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA ELIMU,MAKALA NA BURUDANI KWA UHAKIKA MASAA 24,TUFUATILIE OFFTRACK TV.
PIA USISAHAU KUSUBSCRIBE OFFTRACK TV
/ offtracktv
Email | info@offtrack.co.tz
🔴 JE, NA WEWE UNA HABARI AU UNAHITAJI KUTANGAZA NASI?
🔴 WASILIANA NA OFFTRACK TV : (+255 769 612 166)
🔴 Email: info@offtrack.co.tz
Www.offtrack.co.tz
𝙏𝙝𝙖𝙣𝙠 𝙔𝙤𝙪 𝙁𝙤𝙧 𝙒𝙖𝙩𝙘𝙝𝙞𝙣𝙜
...............................................................................................
Subscribe: / offtracktv