Перейти к содержимому

DROGBA: AFCON 2027 NI FURSA YA KUUNGANISHA WATU KUPITIA SOKA

Nsc_bmt

0:00 / 0:00

DROGBA: AFCON 2027 NI FURSA YA KUUNGANISHA WATU KUPITIA SOKA

90 просмотров · 2 нед. назад
Nsc_bmt
717 подписчиков
90 просмотров · 2 нед. назад
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ivory Coast na klabu ya Chelsea ya Uingereza, Didier Drogba, amesema mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) yatakuwa fursa muhimu ya kuunganisha watu kutoka mataifa ya Afrika. Drogba ameyasema hayo Oktoba 16, 2026, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.