SPORTPESA YAIHAMASISHA TWIGA KINGS KUONESHA UWEZO O BARO SEVENS AFRIKA KUSINI
Nsc_bmt
0:00 / 0:00
SPORTPESA YAIHAMASISHA TWIGA KINGS KUONESHA UWEZO O BARO SEVENS AFRIKA KUSINI
8 просмотров · 2 нед. назад
Nsc_bmt
717 подписчиков
8 просмотров · 2 нед. назад
“Natoa hamasa kwa Timu ya Taifa ya Rugby kwamba huu ndiyo wakati wao wa kuonesha uwezo wao, kufanya vizuri na kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo,” amesema Bw. Idrissa Kimaro, mwakilishi wa mdhamini wa Timu ya Taifa, SportPesa, katika hafla ya kuiaga timu ya Rugby inayokwenda kushiriki mashindano ya Obaro Seven nchini Afrika Kusini.