Перейти к содержимому

RAIS MWINYI NA WAWEKEZAJI WA NISHATI YA UMEME

CTV NEWS TANZANIA

0:00 / 0:00

RAIS MWINYI NA WAWEKEZAJI WA NISHATI YA UMEME

33 просмотра · 8 дн. назад
CTV NEWS TANZANIA
174 подписчика
33 просмотра · 8 дн. назад
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali imeweka kipaumbele kupata suluhisho la kudumu la umeme Zanzibar kwa kuongeza uzalishaji wa ndani, kupanua matumizi ya nishati mbadala na kuimarisha miundombinu ya usafirishaji na usambazaji, ili kuongeza uhakika wa nishati na kupunguza utegemezi wa vyanzo vya nje. Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 28 Oktoba 2026, katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Sono, Yeosu, Jamhuri ya Korea (Korea Kusini) alipokutana na uongozi wa WongWang Electric Power Corporation (WG Corporation), kampuni ya Korea Kusini inayojishughulisha na mifumo ya umeme na nishati mbadala.