Перейти к содержимому

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Mei 14, 2025 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Mei 14, 2025 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast

7 372 просмотра · Трансляция закончилась 1 г. назад
DW Kiswahili
337 тыс. подписчиков
7 372 просмотра · Трансляция закончилась 1 г. назад
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kimemjibu msajili wa vyama vya siasa, aliyewaengua baadhi ya viongozi wa chama hicho huku kikisisitiza kuwa viongozi hao wamepatikana kwa njia halali. Rais wa Marekani Donald Trump amekutana leo mjini Riyadh na Rais wa mpito wa Syria, Ahmed al-Sharaa. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.