Kamanda wa Traffic Tanzania SACP. Mkonda Afanya Oparesheni Barabara Kuu ya Morogoro - Iringa
Focus TV Tanzania
0:00 / 0:00
Kamanda wa Traffic Tanzania SACP. Mkonda Afanya Oparesheni Barabara Kuu ya Morogoro - Iringa
900 просмотров · 21 час назад
Focus TV Tanzania
79,7 тыс. подписчиков
900 просмотров · 21 час назад
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) William Mkonda, amewasha moto wa usalama barabarani baada ya kuongoza oparesheni kabambe ya kushtukiza usiku wa kuamkia Oktoba 15, 2026 katika barabara kuu ya Morogoro–Iringa.
Katika zoezi hilo la usiku wa manane, Kamanda Mkonda alishirikiana bega kwa bega na Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Morogoro SSP. Gabriel Chiguma, na Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa Iringa SP. Glory Mtui, Ushirikiano uliohakikisha mipaka na maeneo yote hatari katika ukanda huo yanadhibitiwa kikamilifu.
Focus TV ni chombo cha habari cha mtandaoni kinachorusha Maudhui yanayohusu Habari, Mitindo ya Maisha, Utamaduni, Michezo na Burudani kwa kuyaongezea thamani kwa maslahi ya umma.
.................
Focus TV is one of the Best Online TV Conveying Content and adding values for the public interest.
Focus TV is here to provide you with contents covering News, Education, Lifestyles, Culture, Sports and Entertainments.
Focus TV imesalijiliwa Nchini Tanzania na kupewa Leseni ya kurusha maudhui mitandaoni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
We Love You | Tunakupenda
Regards
Team Focus TV Tanzania
#FocusTVTanzania