Перейти к содержимому

DC Iringa Atangaza Oparesheni dhidi ya Wavamizi waliojenga Maeneo ya Milimani

Focus TV Tanzania

0:00 / 0:00

DC Iringa Atangaza Oparesheni dhidi ya Wavamizi waliojenga Maeneo ya Milimani

428 просмотров · 8 дней назад
Focus TV Tanzania
79,7 тыс. подписчиков
428 просмотров · 8 дней назад
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Benjamin Sitta, ametangaza kuanza Oparesheni Maalum dhidi ya wananchi wa Baadhi ya Kata zilizopo ndani ya Manispaa ya Iringa waliovamia maeneo ya hifadhi ya Milima na kuyageuza kuwa Makazi na Sehemu ya kuendeshea shughuli zao za Kiuchumi kinyume na Utaratibu. Focus TV ni chombo cha habari cha mtandaoni kinachorusha Maudhui yanayohusu Habari, Mitindo ya Maisha, Utamaduni, Michezo na Burudani kwa kuyaongezea thamani kwa maslahi ya umma. ................. Focus TV is one of the Best Online TV Conveying Content and adding values for the public interest. Focus TV is here to provide you with contents covering News, Education, Lifestyles, Culture, Sports and Entertainments. Focus TV imesalijiliwa Nchini Tanzania na kupewa Leseni ya kurusha maudhui mitandaoni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing We Love You | Tunakupenda Regards Team Focus TV Tanzania #FocusTVTanzania