SIGRADA AMVAA KISWAGA BUNGENI: “NI MTU MWENYE STRESS TU…”
TMC NEWS TV
0:00 / 0:00
SIGRADA AMVAA KISWAGA BUNGENI: “NI MTU MWENYE STRESS TU…”
193 просмотра · 4 дн. назад
TMC NEWS TV
42,6 тыс. подписчиков
193 просмотра · 4 дн. назад
Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHAUMMA, Sigrada Wilhelm Mligo, amemjibu kwa kauli kali Mbunge Jackson Kiswaga wakati wa mjadala wa mpango wa Serikali bungeni, akitumia neno stress katika majibizano yao.
Majibizano hayo yameibuka wakati Sigrada akisisitiza kuwa mjadala unapaswa kujikita katika utekelezaji wa mpango wa Serikali uliowasilishwa, badala ya kurudia mambo ambayo tayari yameelezwa kwenye mpango huo.
Je, unaonaje majibizano haya ya wabunge? Tuachie maoni yako.
TMC NEWS | Shaping The Future
NEWS | Shaping The Future
Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani.
🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu.
📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni:
📧 tmcnewsmedia@gmail.com
📞 +255 674 075 414
🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia
#TMCNews #ShapingTheFuture #BreakingNews #TanzaniaNews #LiveNews#TMCNEWS #Bunge2026 #SigradaMligo #JacksonKiswaga #CHAUMMA #TanzaniaTMC