“ALIKIMBIA KWA SABABU YA .... MWACHIENI” - LEMA ATOA KAULI KUHUSU PAMBALU
TMC NEWS TV
0:00 / 0:00
“ALIKIMBIA KWA SABABU YA .... MWACHIENI” - LEMA ATOA KAULI KUHUSU PAMBALU
385 просмотров · 6 ч назад
TMC NEWS TV
42,6 тыс. подписчиков
385 просмотров · 6 ч назад
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, amezungumzia suala la Pambalu ambaye kwa sasa anashikiliwa na Jeshi la Polisi, akisema kuwa alirejea Tanzania baada ya kukabiliwa na changamoto za maisha alipokuwa Nairobi na kutaka kuwa karibu na familia yake.
Lema amesema alipata taarifa za kukamatwa kwa Pambalu na kufuatilia suala hilo hadi kituo cha polisi, ambako alizungumza naye na kumshauri kueleza ukweli kuhusu mazingira ya kuondoka na kurejea nchini.
Aidha, ameiomba Serikali kumwachia, akisema: “Alikimbia kwa sababu ya maisha magumu, mwachieni.”
TMC NEWS | Shaping The Future
Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani.
🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu.
📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni:
📧 tmcnewsmedia@gmail.com
📞 +255 674 075 414
🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia
#tmcnews565 #ShapingTheFuture #BreakingNews #TanzaniaNews #LiveNews#GodblessLema #Pambalu #CHADEMA #JeshiLaPolisi #SiasaZaTanzania #TanzaniaPolitics #Arusha