FANYA HAYA MATANO UTIMIZE KUSUDI LAKO NA KUISHI MAISHA YA MAFANIKIO | Pr. David Mbaga
Hub of Wisdom Inc.
0:00 / 0:00
FANYA HAYA MATANO UTIMIZE KUSUDI LAKO NA KUISHI MAISHA YA MAFANIKIO | Pr. David Mbaga
2 313 просмотров · 2 недели назад
Hub of Wisdom Inc.
151 тыс. подписчиков
2 313 просмотров · 2 недели назад
Je, mafanikio ni bahati, kipaji au kuna kanuni ambazo watu waliofanikiwa huwa wanazifuata? 🤔
David Mbaga anafungua mjadala kuhusu mambo 5 muhimu yanayojirudia katika maisha ya watu wanaofikia mafanikio... kutoka kwenye namna wanavyofikiri, kufanya maamuzi, kutumia muda wao na kujenga nidhamu ya kufikia wanachotaka.
Mafanikio hayaji kwa kutamani pekee. Kuna mtazamo, maamuzi, tabia na hatua zinazoweza kumuweka mtu kwenye safari tofauti kabisa ya maisha.
📌 Tazama hadi mwisho, kisha tuambie kwenye comments:
Kati ya mambo haya 5, ni lipi unaliona lina umuhimu mkubwa zaidi katika safari yako?
----------------------------
Tuandikie kwenye comment section au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp au tembelea tovuti; www.hubofwisdom.com/media
👍 LIKE | 💬 COMMENT | 🔄 SHARE
🔔 SUBSCRIBE H.W TV kwa maudhui zaidi kuhusu mafanikio, mindset, personal development, leadership, fedha na kujenga maisha yenye maana.
----------------------------
🌐 www.hubofwisdom.com/media
📲 @hubofwisdom.inc
#DavidMbaga #Mafanikio #Success #Mindset #PersonalDevelopment #SelfDevelopment #Motivation #HWTv #HubOfWisdom #SuccessMindset #MaishaYenyeMaana