MJUE MOHAMMED SADIQ MWANAUME MWENYE WATOTO 58 ALIYOZAA NA WANAWAKE WANNE
Global TV Online
0:00 / 0:00
MJUE MOHAMMED SADIQ MWANAUME MWENYE WATOTO 58 ALIYOZAA NA WANAWAKE WANNE
1 523 просмотра · 8 ч назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
1 523 просмотра · 8 ч назад
MJUE MOHAMMED SADIQ MWANAUME MWENYE WATOTO 58 ALIYOZAA NA WANAWAKE WANNE
Kutana na simulizi ya Mohammed Siddiq (Sadq), mwanaume mkazi wa mkoa wa Uruzgan nchini Afghanistan, aliyejizolea umaarufu na hisia za wengi duniani kufuatia kuwa na watoto 58 walio hai aliozaa na wake zake wanne.
Kwenye video hii ya Global TV Online, tunaangazia kwa kina maisha ya familia hii kubwa, historia yake ya ndoa zilizofungwa katika nyakati tofauti za kisiasa, changamoto kubwa za kiuchumi, makazi, chakula, pamoja na mapambano ya watoto wake kupata elimu bora. Tazama kujionea uhalisia wa maisha yao na ombi lake kwa jamii.
#GlobalTV #MohammedSiddiq #SimuliziZaKusisimua #Afghanistan #MatukioYaDunia #Habari
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com