WAZIRI KATAMBI: MFUMO WA ALAMA ZA LESENI NI MAJARIBIO
Tanga Tanzania TV
0:00 / 0:00
WAZIRI KATAMBI: MFUMO WA ALAMA ZA LESENI NI MAJARIBIO
467 просмотров · 1 день назад
Tanga Tanzania TV
26,4 тыс. подписчиков
467 просмотров · 1 день назад
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobass Katambi amewataka madereva kutokuwa na wasiwasi kuhusu alama zinazoonekana kuondolewa kwenye baadhi ya leseni zao, akieleza kuwa mfumo wa alama za leseni za udereva bado haujaanza kutekelezwa rasmi nchini, hivyo kinachoendelea sasa ni majaribio.
Waziri Katambi amesema Serikali inalenga kutumia mfumo huo kudhibiti makosa ya usalama barabarani kwa lengo la kupunguza ajali, vifo na majeruhi.