Перейти к содержимому

Идёт прямой эфир

Трансляции Youvio пока не открывает — они идут другим способом доставки, чем обычные видео. Записи завершённых эфиров и остальные ролики работают как всегда.

ICC YAMSHINDA TUNDU LISSU! HE​​CHE AICHARUKIA CCM, NA SERIKALI YA SAMIA TUHUMA ZA MATUSI

В эфиреСейчас смотрят: 282 · Трансляция началась 61 минута назад
HARAKATI TV
101 тыс. подписчиков
Сейчас смотрят: 282 · Трансляция началась 61 минута назад
ICC YAMSHINDA TUNDU LISSU! HE​​CHE AICHARUKIA CCM, NA SERIKALI YA SAMIA TUHUMA ZA MATUSI Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Sakharov 2026, huku Tundu Lissu akiwa miongoni mwa washindani wa mwisho wa tuzo hiyo. Je, ushindi huu una maana gani kwa haki za binadamu na uhusiano wa ICC na Marekani chini ya Donald Trump? Pia, tunachambua mjadala unaomzunguka Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche, kuhusu lugha kali anayotumia katika kuikosoa CCM na Serikali. Je, lugha kali ni sehemu ya mapambano ya kisiasa, au inaweza kudhoofisha hoja za upinzani? Sikiliza hoja yake na utoe maoni yako. Aidha, Chadema imepata ushindi Mahakama Kuu baada ya kutupwa kwa ombi la zuio lililolenga kuzuia chama hicho kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali zake wakati mgogoro wa ndani kuhusu mgawanyo wa rasilimali ukiendelea. Tunachambua maana ya uamuzi huo na suala la malimbikizo ya ruzuku ya Shilingi milioni 500 linalohusishwa na uwakilishi wa chama bungeni. 📌 Tazama kipindi hadi mwisho, kisha utuambie unalichukuliaje kila tukio. 💬 SWALI LA MJADALA: Je, unaona lugha kali ya John Heche inasaidia kuimarisha upinzani, au inapaswa kubadilishwa? Andika maoni yako hapa chini. 👍 LIKE video hii, SHARE na SUBSCRIBE kwenye channel yetu kwa habari za kisiasa, uchambuzi na matukio yanayozungumziwa zaidi. #TunduLissu #JohnHeche #chademalive, #CHADEMA #CCM #UVCCM #SiasaTanzania #HabariTanzania #harakatitv #TanzaniaLIVE #HarakatiTV